Son from Village
Member
- Apr 11, 2023
- 18
- 9
Mkuu hiyo agiza kutoka Japan ila kwa hiyo bei ni mara mbili na nusu.Nahitaji gari aina ya Toyota Voltz yenye sifa zifuatazo:-
1. Haijawahi kupata ajari.
2. Hijarudiwa rangi
3. Millage isizidi 70,000 Kilometers
4. Namba D
5. Iwe ni Automatic
6. Iwe na AC
7. Documents zote ziwepo
Bei ni 6.5M hadi 7.5M
Nahitaji wauzaji seriously sio makanjanja
70k - mileage..kila la kheri
Vigezo na bei having uhusiano..!! Labda upate ya wizi..!!Nahitaji gari aina ya Toyota Voltz yenye sifa zifuatazo:-
1. Haijawahi kupata ajari.
2. Hijarudiwa rangi
3. Millage isizidi 70,000 Kilometers
4. Namba D
5. Iwe ni Automatic
6. Iwe na AC
7. Documents zote ziwepo
Bei ni 6.5M hadi 7.5M
Nahitaji wauzaji seriously sio makanjanja
Hiyo hadi japan ila kwa bei hiyo utapata.Nahitaji gari aina ya Toyota Voltz yenye sifa zifuatazo:-
1. Haijawahi kupata ajari.
2. Hijarudiwa rangi
3. Millage isizidi 70,000 Kilometers
4. Namba D
5. Iwe ni Automatic
6. Iwe na AC
7. Documents zote ziwepo
Bei ni 6.5M hadi 7.5M
Nahitaji wauzaji seriously sio makanjanja
Duuuuu hatariana nunua dashboard wabongo wana zishusha mileage kama hawana akili .adi yard siku hizi wamekua makanjanja
Ya wizi hapana, vigezo lazima, unaweza usipate vigezo vyote. Katika vigezo 7 ukipata hata 5 au vinne afadhali kuliko kutoweka vigezo kabisaaaVigezo na bei having uhusiano..!! Labda upate ya wizi..!!
Wewe afadhali hii utapata mkuudah,hatari,ila kwa mimi nahitaji allex au runx,iwe namba C au D,iwe haijawahi pata ajali,bajeti yangu mil 6
nitafutie mkuu 0753814720,,whatsappWewe afadhali hii utapata mkuu
Nikufundishe namna ya kununuwa gari used angalia namba na engine pamoja na body, na ndani matunzo yakoje hiyo inatosha nunuwa gari.Nahitaji gari aina ya Toyota Voltz yenye sifa zifuatazo:-
1. Haijawahi kupata ajari.
2. Hijarudiwa rangi
3. Millage isizidi 70,000 Kilometers
4. Namba D
5. Iwe ni Automatic
6. Iwe na AC
7. Documents zote ziwepo
Bei ni 6.5M hadi 7.5M
Nahitaji wauzaji seriously sio makanjanja
Watu wanaangalia namba kwasababu siku naye akitaka liuza wengi wanaonunua wataangalia nambaNikufundishe namna ya kununuwa gari used angalia namba na engine pamoja na body, na ndani matunzo yakoje hiyo inatosha nunuwa gari.
Kuna gari namba A ni nzima na nzuri kuliko namba D hili tunalijuwa wale tu tulioishi na magari kwa maisha yetu yote.
Nakupa mwangaza tu wa bei za namba D.dah,hatari,ila kwa mimi nahitaji allex au runx,iwe namba C au D,iwe haijawahi pata ajali,bajeti yangu mil 6
Well ukiangalia namba mfuko wako usome vizuri.Watu wanaangalia namba kwasababu siku naye akitaka liuza wengi wanaonunua wataangalia namba
Hiyo ndio inakuwaga rahisi hii ya kuvunja yes inakuwa rahisi sanaWell ukiangalia namba mfuko wako usome vizuri.
Ukiwa na gari unataka kubadirisha gari unavunja, unawapa watu gari yako unaongeza pesa unapewa gari nyingine mliyokubaliana.
Asante sana Mkuu, mawazo yako yanamchango mkubwa sana na uzoefu wako ni mhimu pia.Nikufundishe namna ya kununuwa gari used angalia namba na engine pamoja na body, na ndani matunzo yakoje hiyo inatosha nunuwa gari.
Kuna gari namba A ni nzima na nzuri kuliko namba D hili tunalijuwa wale tu tulioishi na magari kwa maisha yetu yote.