Nahitaji gari aina ya Suzuki Kei

Nahitaji gari aina ya Suzuki Kei

Bible

Senior Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
136
Reaction score
8
Nina mil 3.5 nahitahi Suzuki kei au Vitz nipo mwanza 0714620133
 
Ok,mkuu ukishapata hilo gari kwa pesa uliyo nayo,tafuta na namba za cm za mafundi magari uzisevu kabisa kwenye cm yako!
 
mkuu nini spacio old model nauza 5 cash plate number bk nipm kama unataka
 
CYBERTEQ njoo ufanye biashara, si unazo zile za mafungu ulizoagiza?
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha unajua me nahitaji Gari sihitaji toyo
 
Back
Top Bottom