Nahitaji gari aina ya RAV4

Nahitaji gari aina ya RAV4

NADHANI JUKWAA HILI SI SAHIHI KWA ISHU HIYO ILA NA POST YAKO HAINA NYAMA KABISA
 
kwani hapa show room? yaan watu wengine wanapenda kutukanwa mambo ya elimu enaleta habari za magari kweli huu ni uungwana au ndo unatafuta kiki?
 
Hapa sio mahari pake!
Jifunze kuwa msafi kwa kupanga vitu kila kimoJa mahala ni moja ake.
huyu mleta mada atakuwa mhaya ndo zao kujisifia,,,nilienda kwenye msiba wa wahaya siku moja ilipofika kujitambulisha jamaa akasema "nanafanya kazi hospitalini nadeal na watu ambao madaktari bingwa wameshindwa kuwatibu" ,,yaani kwa lugha rahisi anafanya kazi MORTUARY
 
Awa watu wanaotupia uzi ambao si mahali pake tusichangie Mada labda wataacha
 
Back
Top Bottom