Angalizo kwa hiyo bei majibu utakayopewa usije sema unatukanwa.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwenye nayo tuwasiliane
Angalizo kwa hiyo bei majibu utakayopewa usije sema unatukanwa.
Mkuu unakusudia Noah gani ?? Kama ni yule mnyama khaaraaaam utapata wengi sana kwa hiyo bei. Nenda pale marangu kwa mama manka. Kama ni gari kuna bodi utapata nicheki pm