Nahitaji gari aina ya Land cruiser Prado new model

Tanzanian lady

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
261
Reaction score
322
Habari wakuu,

Naamini humu kila jambo linawezakana,

Nahitaji gari aina ya Land cruiser Prado new model, au gari yoyote iliyonyanyuka ambayo waweza itumia kwa safari za pori ukilinganisha na barabara zetu baadhi ya sehemu siyo nzuri.

Yoyote mwenye kufanya biashara hii anipm pamoja na gari husika na bei zake.
Ningeweza kuagiza lakini muda na uhitaji havina urafiki.

Awe serious pls.

Asanteni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upo wapi?gari lipo,landcruiser.
 
Pitia hata ukurasa wa kupatana dot com
 

Kama hutojali sana Mkuu nakushauri funga safari haraka nenda Dodoma kwani Wafanyakazi wa CDA iliyovunjwa huwezi amini sasa wanauza Magari yao yenye hadhi hadi kwa Tsh Milioni 3 kwani hali zao za Kimaisha sasa hivi ni mbaya kuliko maelezo na ile mirija yao yote ya mtonyo imezibwa. Kuna Mtu kanunua Alteza isiyokuwa na muda mrefu kwa Tsh Milioni 5 tu tena huku huyo anayemuuzia akiwa amempigia magoti na analia ili Jamaa alinunue.

Wahi fasta Dodoma Mkuu hutojutia.
 
Wenye kuhitaji kweli wanaenda Toyota,wewe unataka tu attention na unasumbua tu keyboard za watu huku.Hamna mnunuzi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…