Nahitaji fundi wa smart tv - Aiwa

Nahitaji fundi wa smart tv - Aiwa

len

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
209
Reaction score
132
Nina Aiwa smart tv ambayo haidisplay chochote ukiiwasha. Nahitaji fundi aje aiangalie.
 
Wewe unahitaji utengenezewe au uangaliziwe? Ushauri ni beba peleka kwa fundi aifungue na aikague kisha aukujulishe kama inafaa kupona au la na gharama atakwambia.

kazi za nyumbani mwisho wa siku mnatuona matapeli

Peleka kwa ofisi
 
kazi za nyumbani mwisho wa siku mnatuona matapeli
Umenikumbusha fundi Sabufa mmoja alikula hela week nzima radio haijarekebishika mpaka kuna muhuni mmoja akaja kuirekebisha tena ndani ya lisaa limoja tu, kuanzia hapo fundi akaonekana tapeli
 
Kazi za nyumbani ni ngumu kidogo labda tu za kufua nk. Lakini sio ya kutengeneza vifaa vya electronics maana kichwa ikiwaka moto huwa tunaachana na hicho kifaa hata siku mbili ya tatu ndo unagundua shida ilikuwa wapi.
 
Fundi alishindwa hakuweza chochote na kwa sababu hela alikua anapewa hata km kifaa hakijatengenezeka alikua anakuja kugusagusa tu kisha anachukua hela
 
Back
Top Bottom