Nahitaji fundi wa milango ya Alminium

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
9,017
Reaction score
10,048
Wakuu nahitaji fundi wa kunifungia milango 5 ya Alminium, milango iko tayari yy anatakiwa kuifunga tu,

Pia nahitaji fundi wa kufunga kabati yale ya Kichina, nimenunua kabati na liko kwenye box kabati la nguo
 
0657942817 atakupigia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…