Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Mkuu wewe ni mtaalam Wa sola.Habarini wakuu nahutaji fundi mahili wa kusuka power inverter. Awe anasuka zenye ubora wa hali ya juu. And the price must be Affordable, reasonable and recommend
Coment hapa au njoo DM
Mkuu kuna inverter kama 4 zimekufa circuit ioa transforma ni nzima so nahitaji mtu wa kusuka circuut tuuMkuu wewe ni mtaalam Wa sola.
Kwann una prefer inverter za kusuka?.
Au nn zaidi kiongezwe humo?.
Mbona hizi za kijerumani zinatosha tuu?
Asante mkuu wanguMtafute huyu +255765555856 anasuka Sana hizo inverters
Hapo sawa.......Mkuu kuna inverter kama 4 zimekufa circuit ioa transforma ni nzima so nahitaji mtu wa kusuka circuut tuu
Mkuu hiz ni Victron. Zilifungwa bila PE Earthing kufanyika so zikapigwa mtungo na RadiHapo sawa.......
Ni inverter gani ? Mbona zinakuwa Na tatizo saww zote?
AhaaaMkuu hiz ni Victron. Zilifungwa bila PE Earthing kufanyika so zikapigwa mtungo na Radi
Habarini wakuu nahutaji fundi mahili wa kusuka power inverter. Awe anasuka zenye ubora wa hali ya juu. And the price must be Affordable, reasonable and recommend
Coment hapa au njoo DM
Habarini wakuu nahutaji fundi mahili wa kusuka power inverter. Awe anasuka zenye ubora wa hali ya juu. And the price must be Affordable, reasonable and recommend
Coment hapa au njoo DM
Bei mbuzi tuu ni chini ya 200kHivi inverter ya 200va in shilling ngapi jmn
OkyBei mbuzi tuu ni chini ya 200k