ngungwangungwa
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 651
- 589
Km wewe ni fundi au unamjua fundi mzuri ni-pm tufanye biashara. Awe hapa dar.
Mkuu,hebu ni-pm mawasiliano yake niongee nae!Njoo Mbuyuni njia panda ya kwenda Kinzugi barabara ya kuelekea Tegeta uliza fundi Ken
Sent from my iPhone 4S using JamiiForums