Nahitaji fundi wa kunibadilishia display ya samsung j1 minni na j2

chazi piere

Senior Member
Jun 12, 2016
121
65
Nna simu tajwa hapo juu zote zimekufa display nahitaji fundi anibadilishie ili niweze kuzitumia.
Contact +255625511803 kama ww ni fundi unipe gharama na mahali ofisi yako ilipo nikuletee.
Niko Dsm.
 
Nna simu tajwa hapo juu zote zimekufa display nahitaji fundi anibadilishie ili niweze kuzitumia.
Contact +255625511803 kama ww ni fundi unipe gharama na mahali ofisi yako ilipo nikuletee.
Niko Dsm.
Mm ni fundi kaka j1 kioo pamoja na ufundi ni tsh 150,000 na j2 kkoo pamoja na ufundi ni 240000 ofisi yangu iko Mbezi njia ya kwenda msumi my cont 0753505115.
 
Duh!!!Hivi simu ikifanyiwa repair ya display huwa inakuwa iko vizuri kama awali au nibora kuchukua kitu kipya?
 
Una hela sana mkuu??
Ingelikua S7 labdaa....
Hapo pesa ya kutengenezea ni robotatu ya pesa ya simu mpya dukani
 
Mkuu iyo J1 ni pasua kichwa. Display yake inauzwa complite na touch screen. So bei imekua juu sana hadi kufikia 150k
 
Back
Top Bottom