Nahitaji Fundi simu wa kubadilisha kio ya Samsung s8.

Nahitaji Fundi simu wa kubadilisha kio ya Samsung s8.

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,691
Nina s8 smamsung. Nimepata nayo ajali hii mara ya 3. Inapasuka kioo cha mbele na nyuma.

Nahitaji fundi anayeweza kureplace kioo tu na sio display yote. Budget yangu haizidi laki 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi Kiongozi?! Ulishapata huyo fundi? Kama ndio, je ni mzuri?! Nina aleji na wale mafundi wanaoweza kufungua lakini kurudishia upya housing inakuwa mgogoro!! Manake mafundi wengine wakishafungua tu simu yako, basi jiandae kuifunga kwa rubber bands!
 
Pitia hapo...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom