Nahitaji fundi rangi, tiles, lighting na kufitisha bafu

Nahitaji fundi rangi, tiles, lighting na kufitisha bafu

miketee

Member
Joined
Feb 17, 2020
Posts
38
Reaction score
23
Nahitaji mafundi wanaojua kazi hizo hapo juu kwenye interior na ambaye anaweza au alishafanya kazi ya kufitisha haya mabafu ya kisasa. Nitaitaji pia anaeweza kufanya timber finishing
Naomba uje DM na bei zako kabisa

Ni bathroom/washroom. Na eneo ni Boko.
1590646143993.png
 
View attachment 1461323
Nicheki mi fundi rangi 0682717890
 
Mkuu achana na hawa mafindi wa hapa jf.
Mtaani kwenu au jirani wako mafundi wanachapa kazi na unaiona kwa macho.
Hapa wengi madalali tu.
Talking this from experience. Na nikatimulia mbali. Shwaini.
 
Back
Top Bottom