Nahitaji Fundi mzuri wa finishing

Nahitaji Fundi mzuri wa finishing

Amoflo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
207
Reaction score
13
Naomba kupata recommendation ya mafundi wazuri wa finishing za kisasa, inawezekana umefanyiwa kazi nzuri na fundi fulani na unafikiria ni vizuri na wengine wapete huduma nzuri kama hiyo. Naamnisha wa gypsum, plaster, decorations, fundi bomba na interock za nje.
 
Kama Ni Masuala Ya Finishing Nadhani Fundi Messi Na Ronaldo Watafaa Sana.
 
Naomba kupata recommendation ya mafundi wazuri wa finishing za kisasa, inawezekana umefanyiwa kazi nzuri na fundi fulani na unafikiria ni vizuri na wengine wapete huduma nzuri kama hiyo. Naamnisha wa gypsum, plaster, decorations, fundi bomba na interock za nje.

mimi huwa nafanya finish ya nyumba interior kama gypsum painting fitting but saivi npo nairobi nafanyia kazi huku ila tunaweza kuja popote ilimradi maelewano
 
Naomba kupata recommendation ya mafundi wazuri wa finishing za kisasa, inawezekana umefanyiwa kazi nzuri na fundi fulani na unafikiria ni vizuri na wengine wapete huduma nzuri kama hiyo. Naamnisha wa gypsum, plaster, decorations, fundi bomba na interock za nje.

Mkuu kwa mafundi bora naomba tuwasiliane kupitia namba 0655541948 na bei zetu ni nafuu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom