Yupo mmoja nimemwona akifanya kazi mahali fulani, yy ni plumber, ofisi yao iko Magomeni Dsm, kwa asili anatokea pande za kwenu. Na rafiki yake ni fundi umeme, nilichukua simu yake sababu nataka anifanyie kazi.
jamani kiboko ya wote ni simon ngowi chini ya kampun ya nadhra construction jamaa amefanya mikoa kibao na sasa hivi yupo maeneo ya air port ndo anamalizia mradi wa kampun kesho. mchek kupitia 0714822109