Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,555 Oct 26, 2013 #1 Naomba ushauri wenu ni kampuni gani ya friji ambazo ziko imara zaidi na size ndogo yenye thamani ya sh.200,000 ili nikainunue ...kwa hapa dar tafadhari, natanguliza shukrani zangu.
Naomba ushauri wenu ni kampuni gani ya friji ambazo ziko imara zaidi na size ndogo yenye thamani ya sh.200,000 ili nikainunue ...kwa hapa dar tafadhari, natanguliza shukrani zangu.
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,025 Reaction score 14,953 Oct 26, 2013 #2 Kama kwa hela hiyo nikuuzie kubwa ila sio mpya sana ni nzuri ina nguvu zoppas ya russia. Nipo kimara mwisho cont:0685925153
Kama kwa hela hiyo nikuuzie kubwa ila sio mpya sana ni nzuri ina nguvu zoppas ya russia. Nipo kimara mwisho cont:0685925153