Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,057
- 2,637
Wakuu, nahitaji fremu ya biashara maeneo ya Tegeta au njia panda ya Wazo.
Si lazima chumba kiwe kikubwa sana lakini pia kisiwe kidogo sana. Sehemu isiwe imejificha.
Si lazima chumba kiwe kikubwa sana lakini pia kisiwe kidogo sana. Sehemu isiwe imejificha.