Bry N
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 739
- 883
Nahitaji frem kwa ajili ya kufungua duka la mahitaji mbali mbali ya nyumbani chumba kisizidi 60, 000 kwa mwezi. Kama upo jijini msaada tafadhali mi niko songwe so mda wangu wa kuja jijini ni finyu sana. Kama we ni dalali au unataarifa na frem pliz karibu pm