Salaam wakuu, im looking for a project car, preferably a 1956 Ford F100 Pickup, Inatakiwa iwe haijaliwa na kutu, ikiwa na parts zake nyingi itakuwa vizuri zaidi. Bei Maelewano.
Pia kama una gari lingine la zamani sana niambie ni model gani unirushie na picha kadhaa...nikipenda tunaongea biashara!