Mkuu pm inasumbua inandika module not supported .0715681975 nicheki watsap
kuthibisha gari umiliki ni TRA na clearance ya police ukitaka ni rahisi kujua na kutopata matatizo kuliko vitu vya ndani unanunua kutoka ndani kwa mtu tena hapana bora kutokua na kitu mpaka upate hela ya kutosha ununue kitu kipya hapo nazungumzia kwa wanafamilia ila kwa maisha ya gheto popote unachukua tuu...vitu vya gharama zaidi, magari, tunanunua dukani?
Mkuu upo sure hio LG yako ni inch 40? Mimi sitaki hio tv ila sijawai kuona LG orgnal inch 40 smart tv...naomba tu model ya hio tv yako nitoe tongotongo
bora kutokua na kitu mpaka upate hela ya kutosha ununue kitu kipya
Kwa inch ngap mkuuMkuu ipo Panasonic mpya kabisa, kwa Bei hiyo ntakuuzia ingawa sio smart mkuu, sijui upo wap Kama upo dar ntakuelekeza dukan kwangu uje uibebe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nipo geto mkuu.halafu lazima nijiridhishe na mali husika.polis sio kuzurikuthibisha gari umiliki ni TRA na clearance ya police ukitaka ni rahisi kujua na kutopata matatizo kuliko vitu vya ndani unanunua kutoka ndani kwa mtu tena hapana bora kutokua na kitu mpaka upate hela ya kutosha ununue kitu kipya hapo nazungumzia kwa wanafamilia ila kwa maisha ya gheto popote unachukua tuu...
Kwamba lg hawatoi smart auMkuu upo sure hio LG yako ni inch 40? Mimi sitaki hio tv ila sijawai kuona LG orgnal inch 40 smart tv...naomba tu model ya hio tv yako nitoe tongotongo
Sent using Jamii Forums mobile app
StatX Unachukua? Ukisema za kichina una maanisha nini?Waungwana habari za jioni.
Natafuta tv flat kampuni iwe lg,sumsung,sony,panasonic,philips,tcl,startimes,nk ila isiwe kabila la hizi za kichina .
Size iwe kuanzia 32+.iwe ni smart au led tv.
Pesa mfuko wa shati ipo 450000 ila tv yako ikinivutia zaidi naweza nikaongeza kidogo hasa kwa smart .
Pesa ni ngumu wakuu tusaidiane namimi niangalie tbc yetu.wezi walaaniwe
Kwa mawasiliano zaid PM
Hapana mkuu nazungumzia size (inch) kwa upande wa LG huwa ni inch 32 LED and LCD, (inch 37 LCD) inch 42 ni led na LCD, plasma na inch 43 ni led...ila inch 40 sijawai kuiona kabisa LG kwa shop za hapa east Africa ktk used na new brand
Nimekupata mkuuHapana mkuu nazungumzia size (inch) kwa upande wa LG huwa ni inch 32 LED and LCD, (inch 37 LCD) inch 42 ni led na LCD, plasma na inch 43 ni led...ila inch 40 sijawai kuiona kabisa LG kwa shop za hapa east Africa ktk used na new brand
Sent using Jamii Forums mobile app
LG 40LF6300: 40 Class (39.6 Diagonal) 1080p Smart LED TV w/ webOS 2.0 | LG USAMkuu upo sure hio LG yako ni inch 40? Mimi sitaki hio tv ila sijawai kuona LG orgnal inch 40 smart tv...naomba tu model ya hio tv yako nitoe tongotongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimemwambia sijawai kuiona ktk duka za east Africa hio tv...nielekeze ilo duka kwa hapa Dar hio smart tv inch 40...that y nikomba picha ya hio tv yake pic ya model no...sasa huko Google kila kitu kipo hata roho zipo
Heshima kwako Mkuu.huko Google kila kitu kipo hata roho zipo