Nahitaji Flat Screen TV

Nahitaji Flat Screen TV

450 unapata mpya dukani na unapewa risit na guarantee kabisa

Chukua yangu Samsung LED TV 32" series 4.Nilinunua mwezi wa kumi namoja mwaka jana,nataka ninunue inchi 40,pia na sabwoofer yake nauza coz nataka kununua home theatre....Ni-pm km uko interested
 
450 unapata mpya dukani na unapewa risit na guarantee kabisa

hiyo ndio beo nliyonunulia 3 months ago mkuu.. 2years warranty.. got the receipts here with me... sure thing 'the buyer angetaka discount' hapo ingepungua kidogo.. than kuishusha sana bei kabla.. na ikaja bargaining ningepasuka... I NEED TO BUY THE BIGGER TV mkuu
 
Naomba bei ya flat screen TV inches 15 mkuu

sina ya 15 inches mkuu..
labda nikushauri kitu..kama budget imebana.. jaribu kuhifadhi pesa ikifika 280 natumai unaweza pata dukani 22'inches singsung led tv "singapore product". ziko poa ..
tv ya 15 inches naona kama ndogo sana kiongozi
 
Back
Top Bottom