ndugu wadau....samahani! nnatafuta equalizer za kenwood(220 ac volts) au sony 110ac volts) kwa mwenye nazo, na anauza anijuze offer yake!View attachment 118544View attachment 118545
:help:kama unahitaji kitu used jaribu kuicheck hiyo tuongee ni ya maplin