Nahitaji epson photo printer

Nahitaji epson photo printer

madiya85

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
282
Reaction score
65
Epson photoprinter aina ya PX 660, P50,L800 nna cash 350,000 iwe na mitungi ya nje ya wino ncheki 0755 91 49 77
 
P50 ninayo,ila siuzi bei hiyo,hujui serikali yako ya kikwete wanavyodai ushuru ni ovyo,watanzania hamuelewi tu,ww pengine ni ccm,ninayo hiyo P50,nitakutuma wapi ukachukue
 
uko wapi na ni bei .... Habari za magamba majizi unaztoa wapi ndugu? Siwajui watu hao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom