spike Senior Member Joined Jan 8, 2011 Posts 112 Reaction score 15 Apr 12, 2013 #1 Mwenye engine au anaye jua wapi nitapata hiyo engine na bei yake Naomba msaada. Nawasilisha
M Mfikilwa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2008 Posts 412 Reaction score 124 Apr 12, 2013 #2 angalia humo nissan terrano engine | eBay
lucky sabasaba JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 1,656 Reaction score 1,205 Apr 12, 2013 #3 Lete details za hiyo engine..watu tufanye kazi
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,956 Reaction score 30,123 Apr 13, 2013 #4 spike said: Mwenye engine au anaye jua wapi nitapata hiyo engine na bei yake Naomba msaada. Nawasilisha Click to expand... Mi ninayo lakini ni SIX, imekuja na gari mwezi wa tisa mwaka jana (2012). Kama utaiweza basi andaa 4Mil.
spike said: Mwenye engine au anaye jua wapi nitapata hiyo engine na bei yake Naomba msaada. Nawasilisha Click to expand... Mi ninayo lakini ni SIX, imekuja na gari mwezi wa tisa mwaka jana (2012). Kama utaiweza basi andaa 4Mil.
jordanexpressco JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 203 Reaction score 8 Apr 13, 2013 #5 nipigie kupitia namba hii +18048906644 nitaipata hapa japan nakuituma hella utalipia offisi
spike Senior Member Joined Jan 8, 2011 Posts 112 Reaction score 15 Apr 17, 2013 Thread starter #6 Ni terrano TR50 engine yake ni ZD30
spike Senior Member Joined Jan 8, 2011 Posts 112 Reaction score 15 Apr 17, 2013 Thread starter #7 Naomba namba mkuu
spike Senior Member Joined Jan 8, 2011 Posts 112 Reaction score 15 Apr 17, 2013 Thread starter #8 Sting said: Mi ninayo lakini ni SIX, imekuja na gari mwezi wa tisa mwaka jana (2012). Kama utaiweza basi andaa 4Mil. Click to expand... Naomba namba mkuu
Sting said: Mi ninayo lakini ni SIX, imekuja na gari mwezi wa tisa mwaka jana (2012). Kama utaiweza basi andaa 4Mil. Click to expand... Naomba namba mkuu