NAHITAJI ENGINE YA GARI

NAHITAJI ENGINE YA GARI

brave_3

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2014
Posts
1,186
Reaction score
708
Za asubuhi ndugu zangu.
husika na kichwa cha habari hapo juu. Natafuta Engine ya Gari aina ya TOYOTA DUET

Model Number Ya Gari -M100A
Engine No. -EJEAA2109
PISTON 3

NAOMBENI kama kuna mtu anauza au anajua muhusika anaye uza hizo Engine naomba uni PM

N:B naomba engine iwe haija chakachuliwa nataka iliyo katika ubora.
nitafurahi kama itapatika mpya kama ni mtumba basi iwe kwenye ubora wake.

[HASHTAG]#ASANTENI[/HASHTAG]
 
Hela yako tu ila mpya huwezi kupata ni used. 1.5m Ukiwa tayari nichek
 
Back
Top Bottom