ya mufindi JF-Expert Member Dec 23, 2014 508 738 Oct 18, 2017 #1 Wakuu nina Noah nimeweka juu ya mawe msaada wa bei na kuipata
stephot JF-Expert Member Mar 1, 2012 15,838 22,954 Oct 18, 2017 #2 Ilala Shaurimoyo Dar.sidhani kama itakuwa chini ya 1M.hizi ni used from Japan.Labda kama utampata mtu mwenye gari hizi ambayo itakuwa imekufa lakini engine ni nzima Rav4 au Ipsum old model hapa TZ anaweza akakupozea bei.
Ilala Shaurimoyo Dar.sidhani kama itakuwa chini ya 1M.hizi ni used from Japan.Labda kama utampata mtu mwenye gari hizi ambayo itakuwa imekufa lakini engine ni nzima Rav4 au Ipsum old model hapa TZ anaweza akakupozea bei.