nahitaji engine 3s nina kabajeti kadogo msaada

Ilala Shaurimoyo Dar.sidhani kama itakuwa chini ya 1M.hizi ni used from Japan.Labda kama utampata mtu mwenye gari hizi ambayo itakuwa imekufa lakini engine ni nzima Rav4 au Ipsum old model hapa TZ anaweza akakupozea bei.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom