Nahitaji eneo la kuanzisha biashara

Nahitaji eneo la kuanzisha biashara

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
4,318
Reaction score
7,657
wakuu habari,
nahitaji eneo lenye ukubwa wa wastani ninaloweza kuanzisha biashara ya mgahawa kidogo kwa hapa dsm,
kama una eneo lako unaliuza unaweza kuni PM pia.
HINT:Nahitaji sehemu ambayo ina access na customers

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom