Ni kweli mkuu 3.8KWA/h hajaimaliza
Tukijumlisha hizo Watts = 75W(TV)+24W(Taa)+10W(Wifi)+10W(Decoda)+40W(Radio)+60W(Laptop) = 220W
Total Watts = 220W = 0.22KW
Running Hours = 3.8KWh/0.22KW = 17Hours
Akiwasha hivyo vitu anaweza kutumia kwa 17hrs ,solar inaanza kufanya kazi saa 12+dakika kadhaa asubuhi ila intensity nzuri ya jua ni kuanzia saa tatu asubuhi mpaka 10 Jioni ,kwahiyo kuanzia saa 11 jioni mpaka saa tatu asubuhi kuna 16hrs hapo na anabakiza kudai saa 1....Maana yake kwa hivyo vifaa anaweza kurun 24hrs bila kuathirika na ndipo atakapoenjoy solar ,hana wasiwasi wa power kuisha.