Nahitaji duka la jumla Kariakoo la vifaa vya simu

kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,005
2,000
Habarini wakuu, nahitaji kununua mzigo kwa bei ya jumla kariakoo.vitu navyohitaji ni simu, vifaa vya simu kama charger, earphones, bettries, charges na vifaa kama remotes etc. Mwenye kujua duka lenye bei nzuri la jumla tafadhali anielekeze au contacts.

Thanks
 

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
916
500
Kuna Wahindi flan wako Keko jengo la Sofia House wanaitwa Lotus kama sijakosea wao ndo wanauza simu za jumla kwa wafanyabiashara wa kkoo na kwenye Tigo na Voda shop.
 

masagati

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
470
500
Kariakoo watu wana specialize mfano simu ana dili na simu tu, na wa vifaa vya simu hudili na hivyo tu. Na pia wapo wanao deal na kampuni moja ya simu mfano Tecno
 

zachariatbs

Member
Jul 9, 2014
7
0
VP tulioko mikoan, mnaweza tusaidia contact sao ili tupate utaratibu wa kupata VIFAA hivyo, am a kwa wale wenye contact za Dubai mtusaidie tujaribu ku-compare bei,coz wabongo wanabana sana bei hadi iashara unaona haina kitu faida.
 

zachariatbs

Member
Jul 9, 2014
7
0
VP tulioko mikoan,mnaweza tusaidia contact sao ili tupate utaratibu wa kupata VIFAA hivyo,am a kwa wale wenye contactee za Dubai mtusaidie tujaribu Ku compare bei, coz Wabongo wanabana sana bei hadi biashara unaona haina kitu faida.
 

regnaldshirima

Senior Member
Aug 18, 2014
125
225
kuna jamaa wako moshi kilimanjaro wauza simu, memory, chargers, housing (Tecno, Itel, Nokia, Samsung etc), solar charger, tv, av cable, na wanatoa warrant duka lao linaitwa bicmark trading wapo kata ya kiusa mtaa wa kawawa wanatazamana na harsho pia wanakusafirishia mikoani bure.
 

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
960
1,000
Jaribu hawa; Waltangaza hapa kwa JF; Jipatie vifaa vya simu kama betri..charger..cover za simu..earphone..usb cable..memory card..flash..power bank..glass protector.. Tuna tuma mikoani kwa gharama za mteja.. Mawasiliano +255754660061
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom