Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,737 Reaction score 2,402 Oct 18, 2016 #1 Kichwa cha habari kinajieleza, nahitaji distilled water, lita zipatazo mia tano. Kampuni gani inaweza kuniuzia bidhaa hiyo wakuu. Shukran
Kichwa cha habari kinajieleza, nahitaji distilled water, lita zipatazo mia tano. Kampuni gani inaweza kuniuzia bidhaa hiyo wakuu. Shukran
S Silicon Valley JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 1,092 Reaction score 1,119 Oct 18, 2016 #2 Rene Jr. said: Kichwa cha habari kinajieleza, nahitaji distilled water, lita zipatazo mia tano. Kampuni gani inaweza kuniuzia bidhaa hiyo wakuu. Shukran Click to expand... Uko wapi ? na kw ajili ya matumizi gani ? packing ya namna gani ? ( 5, 10,20, 60,200 ltrs @) tupe bei yako unayonunulia
Rene Jr. said: Kichwa cha habari kinajieleza, nahitaji distilled water, lita zipatazo mia tano. Kampuni gani inaweza kuniuzia bidhaa hiyo wakuu. Shukran Click to expand... Uko wapi ? na kw ajili ya matumizi gani ? packing ya namna gani ? ( 5, 10,20, 60,200 ltrs @) tupe bei yako unayonunulia
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,737 Reaction score 2,402 Oct 18, 2016 Thread starter #3 Silicon Valley said: Uko wapi ? na kw ajili ya matumizi gani ? packing ya namna gani ? ( 5, 10,20, 60,200 ltrs @) tupe bei yako unayonunulia Click to expand... Lita 20, nataka kuchukulia hapa Dar. Kama wewe ni muuzaji najua utakuwa na bei.
Silicon Valley said: Uko wapi ? na kw ajili ya matumizi gani ? packing ya namna gani ? ( 5, 10,20, 60,200 ltrs @) tupe bei yako unayonunulia Click to expand... Lita 20, nataka kuchukulia hapa Dar. Kama wewe ni muuzaji najua utakuwa na bei.
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,737 Reaction score 2,402 Oct 19, 2016 Thread starter #4 Silicon Valley said: Uko wapi ? na kw ajili ya matumizi gani ? packing ya namna gani ? ( 5, 10,20, 60,200 ltrs @) tupe bei yako unayonunulia Click to expand... Mbona umepotea mkuu, bado nahitaji hiyo bidhaa!
Silicon Valley said: Uko wapi ? na kw ajili ya matumizi gani ? packing ya namna gani ? ( 5, 10,20, 60,200 ltrs @) tupe bei yako unayonunulia Click to expand... Mbona umepotea mkuu, bado nahitaji hiyo bidhaa!
S Silicon Valley JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 1,092 Reaction score 1,119 Oct 19, 2016 #5 Rene Jr. said: Mbona umepotea mkuu, bado nahitaji hiyo bidhaa! Click to expand... sh 4,000=@ltr
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,737 Reaction score 2,402 Oct 19, 2016 Thread starter #6 Silicon Valley said: sh 4,000=@ltr Click to expand... Hahhahaa, haya mkuu. Mara ya mwisho ameniletea supplier kwa Tsh. 1400/=, sasa hivi hana mzigo tu ndiyo maana nahangaika!
Silicon Valley said: sh 4,000=@ltr Click to expand... Hahhahaa, haya mkuu. Mara ya mwisho ameniletea supplier kwa Tsh. 1400/=, sasa hivi hana mzigo tu ndiyo maana nahangaika!
S Silicon Valley JF-Expert Member Joined Mar 6, 2012 Posts 1,092 Reaction score 1,119 Oct 19, 2016 #7 Rene Jr. said: Hahhahaa, haya mkuu. Mara ya mwisho ameniletea supplier kwa Tsh. 1400/=, sasa hivi hana mzigo tu ndiyo maana nahangaika! Click to expand... Huyo atakuwa amekinga maji ya mvua na kununua container tu haiwezi kuwa industrial produced distilled water, sio mbaya tegemea na kazi unayiyafanyia. shukran
Rene Jr. said: Hahhahaa, haya mkuu. Mara ya mwisho ameniletea supplier kwa Tsh. 1400/=, sasa hivi hana mzigo tu ndiyo maana nahangaika! Click to expand... Huyo atakuwa amekinga maji ya mvua na kununua container tu haiwezi kuwa industrial produced distilled water, sio mbaya tegemea na kazi unayiyafanyia. shukran