Boti elfu 10 (go&return, elfu 2000 sijui ndio ya kisiwa...chakula bora ukabeba take away pamoja na drink zako..price zao hazieleweki tho..then kuna samaki poa na pweza matata
watu hapo juu hawafunguki wanabakia kunitisha tu na kule kisiwani...so kilo inaweza tosha kiaina sio
mkubwa...siku-doubt ila tu naomba unihakikishie haswa huu usawa wa nauli na time za boti haswa muda wa kurudi kaka....tafadhali ni muhimu sana!
Hakika, kuhusu boti ni around saa moja ivi ndio boti ya mwisho
huwa wanavamiwa na vibaka wanakuja na silaha wanapora na kukimbia na boti zao!