nahitaji details kuhusu MBUDYA island.

Titans

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,459
3,366
Wakuu salam,

nilisikia kuwa kuna kisiwa bahari ya hindi ukitokea whitesands pale,ni sehem ambayo inasemekana ni nzuri sana kwa refreshment..mnisaidie wanabodi nijue nauli ya boti kwenda kule,je kule kisiwani gharama za misosi na vitu vingine ni sh ngapi,nimejaribu kutafuta google.com nimekosa details..nataka nimpeleke wifi/shemeji yenu akaenjoy bana nisije kuumbuka nikiwa kule...asanteni.
 
Jiandae kukutana na rundo la vitendea kazi used huko,watu wanafanya sana uzanga huko.
 
Boti elfu 10 (go&return, elfu 2000 sijui ndio ya kisiwa...chakula bora ukabeba take away pamoja na drink zako..price zao hazieleweki tho..then kuna samaki poa na pweza matata
 
Boti elfu 10 (go&return, elfu 2000 sijui ndio ya kisiwa...chakula bora ukabeba take away pamoja na drink zako..price zao hazieleweki tho..then kuna samaki poa na pweza matata

mkubwa...siku-doubt ila tu naomba unihakikishie haswa huu usawa wa nauli na time za boti haswa muda wa kurudi kaka....tafadhali ni muhimu sana!
 
watu hapo juu hawafunguki wanabakia kunitisha tu na kule kisiwani...so kilo inaweza tosha kiaina sio

mkuu sijawahi kwenda kule ila nami niliulizia mtu akaniambia mkiwa wawili uwe na hela ya kutosha, sasa najua gharama ipo kwenye nauli ya boti...halafu na chakula...pia gharama ya kujaza gari yako mafuta hadi Whitesands.
Andaa kama kitu kama buku 60 hadi kilo moja, najua chenji itabaki lakini ni vyema kuwa na hela ya kutosha
 
na boti zapatikania kulekule whitesands?........samahani kukusumbua and thanx alot mdau,u a life saver!!

boti zinapatikana mwenge hehehe kiding.....kwa taarifa nilizonazo ni kuwa zinapatikana whitesands pale.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom