Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
Cpu peke yake au complete?
Wakuu,
Nahitaji desktop CPU na nina 200,000/= tu, mwenye nayo aseme specifications zake hapa na isiwe old model, haihitajiki kwa haraka sana lakini kabla ya tr 5 jan nitakuwa nimeshailipia.
Karibuni.
We kiboko kila kitu unacho tena kipo sokoni,hakika unatumia fursa vizuri iliyopo JF,wengine tumekalia kupiga porojo,badala ya kutumia fursa ambayo JF wametupa,fursa ya soko na kutengeneza pesaProcessor: 3.1 Ghz dual core
Ram: 2GB
HDD:120GB
DVD rom
Call: 0655003510
Nipo Mkuu nitakupa direction mahali ZipoUpo mkuu?. Nahitaji CPU tu, vingine vyote vipo.
Wakuu,
Nahitaji desktop CPU na nina 200,000/= tu, mwenye nayo aseme specifications zake hapa na isiwe old model, haihitajiki kwa haraka sana lakini kabla ya tr 5 jan nitakuwa nimeshailipia.
Karibuni.
onana na Young Master atakuuzia ila ongeza hela hiyo haitoshi
We kiboko kila kitu unacho tena kipo sokoni,hakika unatumia fursa vizuri iliyopo JF,wengine tumekalia kupiga porojo,badala ya kutumia fursa ambayo JF wametupa,fursa ya soko na kutengeneza pesa
mbona hajaweka bei sasa unamjaza misifa tu!
Wakuu,
Nahitaji desktop CPU na nina 200,000/= tu, mwenye nayo aseme specifications zake hapa na isiwe old model, haihitajiki kwa haraka sana lakini kabla ya tr 5 jan nitakuwa nimeshailipia.
Karibuni.
Unataka CPU ya aina gani? Pentium 4, Duo Core, Core i3, Core i5 au Core i7?
Unataka CPU ya aina gani? Pentium 4, Duo Core, Core i3, Core i5 au Core i7?