Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,549
C3 nokia sio kavuHivi madereva wa ubber ni lazima wawe na class c?!
C3 nokia sio kavuHivi madereva wa ubber ni lazima wawe na class c?!
C3 nokia sio kavu
Binafsi nimekuona wewe ndo mpumbavu maana unajadili usichokijua!Huyu jamaa ni mpuuzi, gari gani hiyo ya kuhitaji dereva wa basi...! Mfyuuu
Mimi nipo ndugu yang navigezo vyoteNatafuta dereva wa kuendesha Toyota Vitz new model, awe na uzoefu wa kazi hiyo, leseni class C1,2 au 3, awe mwaminifu, awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu na kitambulisho cha Taifa.
Mwenye uhitaji ani pm
YapyapMtu asiyekuwa na C haendeshi ubber?
Yapyap