KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 541
Natafuta dereva wa kuendesha Toyota Vitz new model, awe na uzoefu wa kazi hiyo, leseni class C1,2 au 3, awe mwaminifu, awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu na kitambulisho cha Taifa.
Mwenye uhitaji ani pm
Mwenye uhitaji ani pm