K kinyagu Member Joined Sep 15, 2020 Posts 29 Reaction score 13 Sep 17, 2020 #1 Habari wana jamvi ,namiliki gari aina ya raum mpya kabisa. Nahitaji dereva wa uber mwenye vigezo vyake vyote aje dm tuyajenge. Nipo Dar es salaam.
Habari wana jamvi ,namiliki gari aina ya raum mpya kabisa. Nahitaji dereva wa uber mwenye vigezo vyake vyote aje dm tuyajenge. Nipo Dar es salaam.
Niache Nteseke JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 2,642 Reaction score 3,429 Sep 17, 2020 #2 kinyagu said: Habari wana jamvi ,namiliki gari aina ya raum mpya kabisa. Nahitaji dereva wa uber mwenye vigezo vyake vyote aje dm tuyajenge. Nipo Dar es salaam. Click to expand... Weka namba yako chief...!
kinyagu said: Habari wana jamvi ,namiliki gari aina ya raum mpya kabisa. Nahitaji dereva wa uber mwenye vigezo vyake vyote aje dm tuyajenge. Nipo Dar es salaam. Click to expand... Weka namba yako chief...!
BigBro JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 3,644 Reaction score 11,978 Sep 17, 2020 #3 Utawapataje na no hujaweka
Niache Nteseke JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 2,642 Reaction score 3,429 Sep 17, 2020 #4 Ndio akili za wabongo hizo chief.
F french JF-Expert Member Joined Aug 2, 2017 Posts 3,646 Reaction score 3,863 Sep 17, 2020 #5 kinyagu said: Habari wana jamvi ,namiliki gari aina ya raum mpya kabisa. Nahitaji dereva wa uber mwenye vigezo vyake vyote aje dm tuyajenge. Nipo Dar es salaam. Click to expand... huwezi miliki raum mpya usitudanganye. sema used
kinyagu said: Habari wana jamvi ,namiliki gari aina ya raum mpya kabisa. Nahitaji dereva wa uber mwenye vigezo vyake vyote aje dm tuyajenge. Nipo Dar es salaam. Click to expand... huwezi miliki raum mpya usitudanganye. sema used
Rosati Senior Member Joined Feb 9, 2013 Posts 104 Reaction score 69 Dec 5, 2020 #6 french said: huwezi miliki raum mpya usitudanganye. sema used Click to expand... Kwanini una mu underrate jamaa. You never know people's money mzee
french said: huwezi miliki raum mpya usitudanganye. sema used Click to expand... Kwanini una mu underrate jamaa. You never know people's money mzee
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,894 Reaction score 52,486 Dec 5, 2020 #7 french said: huwezi miliki raum mpya usitudanganye. sema used Click to expand... kwani mpya ni sh ngapi?
french said: huwezi miliki raum mpya usitudanganye. sema used Click to expand... kwani mpya ni sh ngapi?