Ndugu nadhan zpo sites nyingi za dating (lesbians na gayz wapo) ztakufaa, kwakwel si mimi pekee angu bali wote inaonekana hatujalipokea kabisa, nakushauri mara nyingine uje na mada itakayo changiwa na kila moja kwa aman kabisa, ushindwe na ulegee bila kusahau na utepete!