Jamani mwenye kufahamu iwe duka au mtandao ambao naweza kupata Laptop aina ya DELL kwa TZS.700,000/= yenye RAM minimum 4GB na kuendelea, screen size 14 inch na kuendelea, webcam, bluetooth, WIFI, HDD 120 and above.
Nenda Kariakoo opp na sheli mtaa wa Uhuru kama unaelekea Mnazi MMoja kuna kaduka flani ka comp accesories na vile vile wanauza Dell za ukweli kwa hiyo bei yako.