Dogo wewe huna dini? Dini yako inasemaje juu ya tendo la ndoa na masharti na vigezo vya kumvua mwanamke nguo?salaam wakuu..
Ipo hivi, tangu niumizwe katika mahusiano nimekuwa mtu wa tofauti kidogo kwani nimewachukulia wanawake kama watu wasiokuwa na msimamo hasa linapokuja suala na mahusiano
sasa nimeamua kutokuwa na mahusiano kwa mda ili nifanye mambo mengine ya muhimu hasa kutafuta pesa najua hawa wanawake wapo tu.
kitika mishe zangu nakutana na wanawake wanaovutiwa na mm na wapo ambao wanadiriki kunipa mzigo bila hata mm kuwatongoza, wapo hawa ambao wanaonesha dalili kabisa kuwa wanataka dushe ila nikitengeneza mazingira wanaanza kuwa kigeugeu, mara atoe visingizio kuwa yupo mp mara aseme anaumwa, yan yeye mwenyewe kaja geto sijamuita alafu anaanza kuzingua,mwingne ye anasema anapenda romance tu
ebu nipeni dawa ya mtu kama huyu...sipendi ujinga mimi
Hahahahahha au kakutana na uvundo wa soks hahahha uwiiUkiona mwanamke kaingia hadi geto afu hataki kukupa ujue kakutana na dosari imeondoa hisia zake..... Usikute hata geto linanuka viatu
Au geto linanuka sigara, au kakuta jamaa kavaa zile boxer za TMK wanaume family.Hahahahahha au kakutana na uvundo wa soks hahahha uwii
Usiwe mkali, umekuja kuomba ushauri so tunajaribu kutrace chanzo cha tatizoAcha kukariri mkui..labda geto la shemeji yetu ndo linanuka
"you talking from ur experience"
Hahahaha [emoji23] [emoji23]Au geto linanuka sigara, au kakuta jamaa kavaa zile boxer za TMK wanaume family.
Anatakiwa atafute chanzo kabla ya solution
Na ww acha kuassume nilichoandikaAcha kukariri mkui..labda geto la shemeji yetu ndo linanuka
"you talking from ur experience"
Wewe ndo mwenye upele...we ndo unajua wapi panakuwasha....Kama ipi?
mkuu chanzo cha tatizo ni hicho hapo cha wao kuwa kigeugeu...sitaki nataka, kama ni ishu ya usafi nipo vzuri, game napiga mpk extra time..haya niambie sasa tatizo ni mm ama wao?Usiwe mkali, umekuja kuomba ushauri so tunajaribu kutrace chanzo cha tatizo