Nahitaji dawa ya kutokomeza nzi

Nahitaji dawa ya kutokomeza nzi

Kama unajiweza kipato kuna kamtambo flani kamekaa kama chemli unakatundika kwenye kona ya dari wadudu walukao wote wanakafata hadi mbu..
 
Mkuu nenda duka la dawa ya mifugo au wale jamaa wanaotangaza sumu ya paya,nzi nk ulizia Fly Bait - au waambie dawa ya nzi ipo kwenye pakti ya Kijani na ndani ina unga wa manjano inauzwa shs 1,000. Unanyunyiza kidogo tu nzi wanaifuata wenyewe na wanakufa hapo hapo.
Tumia hiyo na lete mrejesho iwasaidie na wengine.
Hao jamaa wanaotangaza sumu ya panya ni wauuni wanaweza kukuuzia mavi ya mbuzi et ni sumu
 
Nitakapata wap ndugu
Katafute maduka ya vifaa vya umeme nazani utakapata!..mtandaoni kanaitwa "fly catcher machine".
IMG_20180227_214241_379.JPG
 
Mkuu nenda duka la dawa ya mifugo au wale jamaa wanaotangaza sumu ya paya,nzi nk ulizia Fly Bait - au waambie dawa ya nzi ipo kwenye pakti ya Kijani na ndani ina unga wa manjano inauzwa shs 1,000. Unanyunyiza kidogo tu nzi wanaifuata wenyewe na wanakufa hapo hapo.
Tumia hiyo na lete mrejesho iwasaidie na wengine.
Dawa hiyo ni nzuri ila mtahadharishe awe makini maana inzi wakigusaga ile wanapata kichaa na anaweza kufondoka popote kwenye sahani au ata kikaango ikaleta shida.

Maana wanakufilia popote.
 
Hzo apo
 
Attachments

  • Screenshot_20191013-205252_1570989223165.jpg
    Screenshot_20191013-205252_1570989223165.jpg
    40.3 KB · Views: 105
Mrejesho wa dawa nzuri ya nzi jamani... Hapa kwangu naona nzi wanataka kupazoea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom