Nyakati za mwisho
Member
- Feb 18, 2018
- 29
- 8
Habari za leo wana JF? Natumaini niwazima wa afya tele...
Mimi ni mjasiriamali mdogo mwnye mwenye ndoto za kufika mbali sana.
Tatizo linalonisbua kwnye bishara yangu ni hawa wadudu INZI, Licha ya kujaribu kuwa msafi na kufanya biashara kiusafi lakin bado nawaona INZI na sipendi kuwaona kabisa.
Mwenye kujua dawa ya kuuwa na kuangamiza kabisa huyu mdudu anisaidie
Mpaka naamua kuandika hivi ni kwmaba ananikera sana huyu mdudu
Natumaini nitapata majibu yatakayo nisaidia hapa