James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,187
- 15,535
Mods wamepigwa mkwara na wametulia hahaaas
Kama ni mwanaume afu anaandika kama mwanamke for any purpose huko ni kujidharirisha na kudharirisha jinsia ya kiume au tuseme hajakua bado. Pumbavuuuuu,Wewe mtoa mada si ni mwanaume au?
![]()
Hii mimba kweli yangu?
Nikiwa kwenye biashara zangu kuna binti mmoja alikuwa ananiletea chakula kutoka mgahawa flani anaofanya kazi kila mara katika majadiliano ya hapa na pale na wafanyakazi wangu wakawa wanasisitiza huyu binti ni bikra Kwasababu sijawahi kumvunja mtu hiyo kitu nikaona nimrubuni ili niivunje...www.jamiiforums.com
Au unatafuta basha?
Na sherehe za muungano zimefutwa pengine wangepiga buku tano kwa kuvaa magamba ya kijani.Hadi nyie CCM vyuma vimekaza hadi mnaanza kuuza biryan!😂😂
Shida wengine bado watoto kazi hawawezi, easy kuwagundua.Wale mlio na uchu shauri yenu huyu mtu yupo kazini..km siyo tapeli basi ni wazee wa kitengo au vijana wa Bashite.
![]()
Simu ya mchepuko
Jaman mwenzenu nimechoka kudakwa kila siku na msg za mchepuko! Sasa naamua kuwa makini na nimeona nitafute kishikwambi kwa ajili ya mchepuko ambayo wife hataijua Bajeti ni laki moja mwenye smartphone used iwe kwa hali nzuri aje dm aniuzie na kuokoa ndoa yanguwww.jamiiforums.com
Bashite ameingiza vijana wengi humu...


