Nahitaji dalali Iringa wa kuuza nyumba

Nahitaji dalali Iringa wa kuuza nyumba

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,498
Reaction score
28,720
Habari zenu wakuu,

Nahitaji dalali ambaye ataweza kuuza nyumba zilizopo Iringa Mjini, Nahitaji awe muelewa na muaminifu, awe na uzoefu.

Kama yupo njoo PM tufanye mawasiliano

Asanteni
 
Habari zenu wakuu, nahitaji dalali ambaye ataweza kuuza nyumba zilizopo iringa mjini, Nahitaji awe muelewa na muaminifu ,awe na uzoefu.

Kama yupo njoo PM tufanye mawasiliano

Asanteni
Habari! Kama nilipata dalali naomba na mimi msahada. Natafuta dalali wa kuniuzia nyumba yangu iringa.
Asante
 
Hivi kule Kupatana.com biashara zao zipo really??? Naona watu wanaweka matangazo ya kuuza na kununua hata nyumba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom