Nahitaji cover ndugu zangu

Nahitaji cover ndugu zangu

Ibn Abdillah6

Member
Joined
Sep 3, 2020
Posts
60
Reaction score
29
Mambo Vp wakubwa

Naomba mwenye kujua wapi naweza kupata cover za hz simu redmi note 7 au redmi 10x pro 5g kwa hapa dar au hata nje ya dar maana nimetafuta hadi bas asee[emoji17]
IMG_20230513_200526.jpg
1683983329241.jpg
 
Mcheki jamaa anajiita highlifeTz alikuwa na account whatsapp, facebook na telegram ,alishawahi niuzia kava ya xiaomi kipindi cha nyuma ila sijui kama bado anaziuza. Kipindi kile alikuwa anapatkana upanga-DSM,namba yake hii 👉0717233555.
 
Sehemu sahihi isiyo na usumbufu ni AliExpress pekee!

Agiza ukiwa chumbani kwako ndani ya wiki 3 tu au chini ya hapo kama utakuja kwa speedaf!
 
Mcheki jamaa anajiita highlifeTz alikuwa na account whatsapp, facebook na telegram ,alishawahi niuzia kava ya xiaomi kipindi cha nyuma ila sijui kama bado anaziuza. Kipindi kile alikuwa anapatkana upanga-DSM,namba yake hii [emoji117]0717233555.
Poaa ndugu acha nijaribu na kwake
 
Sehemu sahihi isiyo na usumbufu ni AliExpress pekee!

Agiza ukiwa chumbani kwako ndani ya wiki 3 tu au chini ya hapo kama utakuja kwa speedaf!
Ndugu shida ni kwamba sijawah kununua bidhaa huko na hata namna ya kufanya pia sijui kaka
 
Back
Top Bottom