Amesema amepata ajali ndio mpenzi a.k.a mchumba akaanza visa na hatimaye kumwacha... Kuanzia kesho naanza kukutengenezea juice ya mchicha manake naona Sayona imeanza kukuharibu macho! Sema sante!Bila sababu ya msingi?!! Hebu sema sababu aisee.
Amesema amepata ajali ndio mpenzi a.k.a mchumba akaanza visa na hatimaye kumwacha... Kuanzia kesho naanza kukutengenezea juice ya mchicha manake naona Sayona imeanza kukuharibu macho! Sema sante!
Heee! Nimekukaribisha sebuleni naona wataka kuingia mpaka chumbani... Hiyo ya mlenda mwambie mamkwe wako King'asti akutengenezee!..lolsante bodyguard. Nitengenezee na juice ya mlenda.
Heee! Nimekukaribisha sebuleni naona wataka kuingia mpaka chumbani... Hiyo ya mlenda mwambie mamkwe wako King'asti akutengenezee!..lol
ngoja nimwambie kloro akufukuze kazi. Unamjibu vibaya bosi.
Tafadhali nisaidienimwenzenu boyfriend wangu ambaye ndiye mchumba ameniacha bila sababu za msingi, nilimpenda sana na kibaya zaidi nimepata ajali ndo akaanza visa mpaka kuniacha. siwezi hata kula napata msongo wa mawazo mpaka kulala inakuwa tabu. Naombeni ushauri ambao utanisaidia nirudi katika hali ya kawaida nateseka sana kisaikolojia. Natanguliza shukrani kwa ushauri mtakaonipatia