Nahitaji ''CONTAINER''

Nahitaji ''CONTAINER''

DATOGA

Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
82
Reaction score
24
Ndg wapendwa wa JF habari zenu.

Jamani nahitaji container la futi 20 au 40 la mwaka wowote ili mradi bado ni zima au linaweza kumudu shughuli za biashara kama ya duka.
Naomba mwenye nalo au anaye fahamu wapi nitalipata au kuniuzia kwa BEI NAFUU.

Nitashukuru sana kwa msaada wenu wana jf.
 
natafuta container za futi 20 pia, mwene taarifa plz
 
Back
Top Bottom