Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
Kwa dar kuna maduka meni yanayo uza computer mpya/used kwa kariakoo karibu kila mtaa unaduka la computer, kwa yeyote anae fahamu duka linalo uza used computer kwa bei nafuu kuliko yote basi atufahamishe,pale mzizima na cheep computer wanauza 350 000/- kwa desktop dell optiplex 745 hdd 160 1gb ram yenye dvd writer, 17"flat kama kuna maduka mengine mnayafahamu yanayo uza bei chini ya hapo nifahamisheni.