Kwa yeyote anayelijua duka kwa Dar ambalo naweza pata laptop yenye vigezo hivi naomba mawasiliano ya dukani please ,nahitaji laplop kwa ajili ya gaming ,budget yangu isizidi 370000
Sifa za hii mashine haiwezi kuwa dukani. Dili na walioishiwa au za dili. Processor 9th generation ya intel ndio bei yake iyo uliyoandika. Hii mashine dukani kama upo serious weka 1.2 mfuko wa shati.