Bei ya simu unataka PcHabari!
Nahitaji PC kwa ajili ya kufanyia video editing. Hivyo nahitaji at least powerful PC kwa ajili ya hiyo tasks.
Ikiwa na RAM above 6 sawa.
SDD itapendeza ila HDD haidhurupia.
Processor ya kiume
E.t.c
Budget yangu sio kubwa saana though nimeona nitangaze you never know Kuna my alinununua ndege mnada wa serikali kwa laki 5.
Budget yangu 360,000/=
Cc Chief-Mkwawa
Kwa hii budget Desktop unapata,Habari!
Nahitaji PC kwa ajili ya kufanyia video editing. Hivyo nahitaji at least powerful PC kwa ajili ya hiyo tasks.
Ikiwa na RAM above 6 sawa.
SDD itapendeza ila HDD haidhurupia.
Processor ya kiume
E.t.c
Budget yangu sio kubwa saana though nimeona nitangaze you never know Kuna my alinununua ndege mnada wa serikali kwa laki 5.
Budget yangu 360,000/=
Cc Chief-Mkwawa
Mtandaoni kuleta kitu kizito ni gharama sana. Waweza pata pc laki 3 na usafirishaji nao laki 3Kuna mtu kaniambia usiogope utaedit tu video.. ingia mtandaoni unaweza kupata PC kwa hiyo budget yako.
Kwa bei hyo mzee utapata PC zinazoweza edit 1080p clips vizuri. Juu ya hapo itakua majanga. Ila nunua desktop yenye core i5 or core i7 4th generation kwenda juu.Best resolution za juu saana. As you know high resolution ndio Ina matter kwa Sasa.
Nashukuru kaka. Duka lipi ? Napata iviKwa hii budget Desktop unapata,
1. Nunua cpu ya i7, kuna jamaa anauza i7 4th gen kwa 80,000 na zipo hadi i7 za 50,000 sema gen kama ya kwanza ambayo sio nzuri kwa video editing.
2. Nunua Desktop ya Pentium ama celeron gen sawa na i7 yako, mfano kama umenunua i7 gen ya 4 tafuta desktop ya pentium gen ya 4. Hizi bei zake ni chini ya 180k
Kwenye desktop ni vyema uangalie power supply na position ya Pcie kwa ajili ya graphics card maana hivi vitakuja kukulimit baadae.
3. Around laki 1 mpaka 1.5 inabakia kwenye budget yetu, hapa nunua ram mbili za 4gb around 60,000 kwa zote mbili unapata, hela inayobakia save kidogo ssd zinaanzia 80,000.
Hapa tayari unaanza kazi kwa software zinazokubali quicksync, kama premiere mpya za 2018 kupanda.
4. Baadae utakuja ku upgrade gpu na mengineyo
Naitaji mzigo unaosukuma 4kKwa bei hyo mzee utapata PC zinazoweza edit 1080p clips vizuri. Juu ya hapo itakua majanga. Ila nunua desktop yenye core i5 or core i7 4th generation kwenda juu.
Cpu kama Cpu ni machimbo,Nashukuru kaka. Duka lipi ? Napata ivi
4k? Mzee unahitaji at least gen 7 processor (na sio zile zenye U mwisho kma kwenye laptop nyingi za slim) na unahitaji GPU inayojiweza kdgo. Budget yako inatakiwa kuwa kwenye 1M huko kwenda juuNaitaji mzigo unaosukuma 4k
Mwezi ujao nataka niipate iyo machine nitakuwa nimeshakamata iyo 1m4k? Mzee unahitaji at least gen 7 processor (na sio zile zenye U mwisho kma kwenye laptop nyingi za slim) na unahitaji GPU inayojiweza kdgo. Budget yako inatakiwa kuwa kwenye 1M huko kwenda juu
Kiasi gani hii?
Kiasi gani hii?
Kiasi gani hii?
Haha!..Respect bro! [emoji119]