Nahitaji chuo kikuu chenye masomo ya jioni

Meryc Bryce

Member
Jun 8, 2013
10
4
Mambo wapendwa,
Napenda kujua chuo kikuu chenye masomo ya jioni ngazi ya degree.
Kiwe Dar-es-salaam au Pwani. Ingawa sina uhakika kama Pwani kuna vyuo vya degree. Ila kisiwe Huria.

Mwenye ufahamu navyo naomba anielekeze.
 
Back
Top Bottom